en
stringlengths
4
1.39k
sw
stringlengths
4
1.37k
Just talking about policies, candidates, and election dates with family and friends is productive.
Kwa kuongea tu kuhusu sera, wagombe, na tarehe za uchaguzi pamoja na majamaa na marafiki huleta matokeo.
President Carter’s military rescue option would sadly fail.
Chaguo la uokoaji wa kijeshi la Rais Carter lingeshindwa kwa kusikitisha.
Tracking devices can be installed on vehicles and equipment;
Vifaa vya ufuatiliaji vinaweza kusakinishwa kwenye magari na vifaa;
Next, use local mobile advertising to attract foot traffic.
Ifuatayo, tumia utangazaji wa simu ili kuvutia trafiki ya watu.
Although, "celebrity crush" seems like too narrow and shallow a term.
Ingawa, neno la "mtu mashuhuri anayenivutia" linaonekana kama lisilofaa na lenye mtazamo finyu.
The finance guy sat in a dress shirt behind a massive wood desk.
Jamaa wa fedha aliketi akiwa amevalia shati nyuma ya dawati kubwa la mbao.
It is also possible to sand and stain the legs of the hardwood bed frame to match your bed décor.
Pia inawezekana kutia mchanga na uchafu kwenye miguu ya fremu ya kitanda cha mbao ili ilingane na pambo la kitanda chako.
To accomplish such a great task against long odds will require a highly diverse and efficient organization.
Kufanikisha kazi kubwa kama hilo licha ya changamoto kubwa kutahitaji upangaji anuwai na wa ufanisi kwa kiasi kikubwa.
Since James’ injury, they have the fourth-best defensive rating in the league.
Tangu James alipopata jeraha, wana ukadiriaji wa ulinzi ambao ni wa nne katika ubora katika ligi hiyo.
In the wake of bird flu alerts across the country, none of the residents ventured near the spot to even verify what locals said.
Katika kutokea kwa arifa za homa ya ndege kote nchini, hakuna yeyote kati ya wakaaji hao aliyethubutu hata kufika karibu na eneo hilo ili kuthibitisha maoni ya wakazi wa eneo hilo.
Deficit reduction requires actually cutting military spending.
Upunguzaji wa hasara huhitaji hasa kupunguza matumizi ya kijeshi.
Amazon has been pressing workers to vote against the union.
Amazon imekuwa ikiwasukuma wafanyakazi kupiga kura kupinga muungano huo.
Gradually, the ladder begins to reverse direction and then falls, crushing dozens underneath.
Polepole, ngazi huanza mwelekeo wa kurudi nyuma na kisha kuanguka, huku ikiwaponda watu wengi chini.
He took a letter out of his sack and slid it into the slot.
Alichukua barua kutoka kwa mfuko wake na kuiingiza kwenye mpenyo.
These worries have shifted the landscape of contemporary childhood in a diversity of ways.
Hofu hizi zimebadilisha mtazamo wa utoto wa kisasa kwa njia mbalimbali.
It’s gorgeous, crazy, insane, and I could listen to it on repeat forever.
Ni nzuri, ya kuzulika, ya ajabu, na ninaweza kuisikiliza tena na tena.
Beauty became her mystery, companion, guide, and inspiration.
Urembo ulikuwa jambo lake la ajabu, mwenza, mwongozo na himizo.
We inspected jumping equipment for compliance with safety regulations.
Tulikagua kifaa cha kuruka kwa ajili ya kufuata kanuni za usalama.
The smallness of my cry was in comparison like the whisper of a ghost.
Udogo wa kilio changu ulikuwa ukilinganishwa na sauti ya mzimu.
It allows me to work by following my vibes and molding my teaching style to the learning style of the audience.
Huniwezesha kufanya kazi kulingana na hali yangu ilivyo na kubadilisha mtindo wangu wa kufunza ili kuwafaa ninaowafunza.
Being grateful is showing appreciation with kindness, whereas being thankful is simply being pleased and relieved.
Kuwa na shukrani ni kuonyesha uthamini kwa wema, ilhali kuonyesha shukrani ni kufurahishwa na kutulia.
Our programmers develop Java web apps to build dynamic websites as per clients’ requirements.
Wasanidi programu wetu huunda programu za wavuti wa Java ili kujenga tovuti mbalimbali kulingana mahitaji ya mteja.
That’s absurd, and it’s embarrassing, and anybody thinking that way should be ashamed, no matter their preference.
Hayo ni maajabu, na inafedhehesha, na mtu yeyote anayefikiria hivyo anafaa kuaibishwa, licha ya mapendeleo yake.
The thought was enough to send her forward the last few steps.
Wazo hilo halikutosha kumsukuma mbele hatua chache za mwisho.
Brown leather flight jacket with fur neck lining, dark gray tank top, dog tags, black belt, and torn dark gray jeans.
Jaketi ya ngozi ya kahawia iliyo na mkanda wenye manyoya shingoni, kofia ya kijivu kilichokolea, lebo za mbwa, mshipi mweusi na jinzi za kijivu zilizoraruka.
After organizing the exam, the commission also conducts an interview session to recruit capable applicants for the declared posts.
Baada ya kuandaa mtihani, tume pia hufanya kikao cha mahojiano ili kuwaajiri waombaji wenye uwezo kufanya kazi ya nafasi zilizotangazwa.
This one quote made me realize it is my responsibility to try to restore that bridge between us.
Dondoo hili moja limefanya nigundue, ni wajibu wangu kujaribu kurejesha daraja hilo kati yetu.
The servers are located in 3 regions north america, europe and asia.
Sava zinapatikana katika maeneo 3 ambayo ni Amerika Kaskazini, Ulaya na Asia.
Originally published April 11, 2014 and updated periodically.
Ilichapishwa mara ya kwanza tarehe 11 Aprili 2014 na kusasishwa mara kwa mara.
The only obstacle that endures is that an introvert will dwell on the past.
Kikwazo cha kipekee ambacho kinastahimili ni kwamba mwenye kujitenga atafikiria mambo yaliyopita.
Our website and content are protected by international copyright laws and database rights.
Tovuti na maudhui yetu yamelindwa na sheria za kimataifa za hakimiliki na haki za hifadhidata.
Maintain agreed stock levels where applicable and closely monitor aged stock.
Kudumisha viwango vya hisa mlivyokubaliana panapowezekana na kufuatilia kwa karibu mno hisa za kitambo.
Once you and your luggage are settled in, the pilot will wait for permission to take off.
Pindi tu wewe na mzigo wako mtakapotulia, rubani atasubiri ruhusa ya kuondoka.
Rubber pieces worn or falling apart, roof rail pieces missing, fuel tank door lock broken.
Vipande vya mipira vimechakaa au kuharibika, vipande vya reli ya paa havipo, kufuli la mlango wa tanki la mafuta limevunjika.
Divide the sliced steak, roasted potato, and cooked snap peas between two plates.
Gawa nyama iliyokatwakatwa, kiazi kilichochomwa na mbaazi zilizochemshwa kati ya sahani 2.
Spread third cake layer with remaining strawberry ice cream;
Paka safu ya tatu ya keki ukitumia krimu ta stoberi;
Children who are resilient are brave, curious, confident, and problem-solvers.
Watoto ambao ni wastahimilivu ni wajasiri, wadadisi, wanaojiamini na wasuluhishi wa matatizo.
The most important purpose of a nurse is to earn patient trust and leave them whole, complete, and independent.
Madhumuni muhimu zaidi ya nesi ni kuaminiwa na mgonjwa na kumwacha akiwa mzima, mkamilifu wa akijitegemea.
The Authors reserve the right to edit, delete and block any comment or commenter deemed to be inappropriate.
Waandishi wanahifadhi haki ya kuhariri, kufuta na kuzuia mtoaji wa maoni au maoni yoyote yanayozingatiwa kuwa yasiyofaa.
Squirrel droppings vary, and they can be a little tough to distinguish from rat poop.
Kinyesi cha kachakuro hutofautiana, na kinaweza kuwa ngumu kidogo kikilinganishwa na kinyesi cha panya.
Most car companies are scared to commit to a given battery chemistry for fear it will be obsolete in a few years.
Kampuni nyingi za magari zina wasiwasi wa kuweka dhamana kwa namna fulani ya betri kwa hofu kuwa itaharibika baada ya miaka michache.
Cease consuming processed foods like white flour, which, though gentle on the digestion, is equal to a snack.
Acha kula vyakula vya kusindikwa kama vile unga mweupe, ambao ingawa husagika kwa urahisi, ni sawa na kumbwe.
The pin up and vintage lifestyle is for everybody, regardless their age, shape and gender.
Mtindo wa maisha wa kuvutia na wa kale ni wa kila mtu, licha ya umri, umbo na jinsia yao.
Even our most difficult life experiences bring us wisdom, character and integrity.
Hata matukio magumu zaidi maishani mwetu hutuletea hekima, tabia na uadilifu.
Unfortunately, this map isn't supported on your browser.
Kwa bahati mbaya, ramani hii haitumiki kwenye kivinjari chako.